Friday, April 13, 2012

JINSI YA KUFURAHIA MAPENZI(NGONO YA MDOMO)


Wanaume wengi hupenda sana “ngono ya mdomo” na wanawake wengi pia hupenda ngono ya namna hiyo kwaniwana enjoy sana, lakini ukweli ni kuwa hutakiwi kchukua muda mrefu sana ili mwanamke abaki na hamu ya kufanya mapenzi.Hivyo haiwezekani uchukue muda mrefu sana  kwa vile unapochezea kisimi na kisha mwanamke kufika kileleni anahitaji muda wa kupumzika….ukiendelea bila kupumzika  ni wazi kuwa atakuwa anazuga kuwa nafurahia kumbe hakuna kitu.
Mwanamke anatakiwa akae kwenye kochi/ na kupanua miguu yake  au alale pembezoni mwa kitanda au kwenye kona ya kitanda kisha nyanyua miguu yake na aiweke kama  anazaa (V-shape).
Hapo wewe mwanaume unatakiwa kushika sehemu ya ndani ya mapaja yake ili kukurahisishia kuzama vema na vilevile kumzuia yeye asikubane kichwa mara tu utamu utakapomkolea.
Sasa weka mdomo wako juu ya kisimi ktk mtindo wa kufunika kisha anza kunyonya ktk mtindo wa kubusu, yaani kama vile unalamba mabaki ya kitu kitamu/chakula kidoleni.
Hakikisha pua, kidevu au kwa kifupi uso wako haugusi sehemu yoyote ya eneo hilo unalofanyia kazi na vilevile kumbuka kutokimbilia kupenyeza ulimi wako kwenye uke (pale uume unapoingia) na badala yake wewe komalia kisimi tu…..na ukinyonye na kukilamba vile mpenzi wako anapenda au unaweza kuongeza ujuzi wako wa kutumia ulimi as long as unajua kuwa mpenzi anafurahia.
Kumbuka kila unapobadili “mtindo” wa kulamba kinyonye kisimi hicho ktk mtindo wa kubusu pamoja nakuwa hutoa utamu wa hali ya juu pia itakusaidia au kukupa nafasi yakupumzika na kupumua bila kukiacha kisimi (ukikiacha utampotezea utamu mwenzio hali itakayo kufanya uanze mwanzo).
Ukihisi anakaribia basi jaribu kufanya kama vile unakivuta kisimi kwa juu (kama unakinyofoa) lakini bila kusababisha “discomfort” huku ukiendelea na mnyonyo wako mpaka atakapo anza kukaza misuli ya miguu na kukandamisha kichwa chako kama vile anataka uingize chote kisha atajiachia…..hapo ndio kamaliza hiyo inachuka kati ya dk5-30  na wewe hamisha ulimi na mdomo wako kwenye mashavu, uke,pale uume unaingia  na maeneo meingine ya karibu lakini sio kisimi kwani kwa wakati huo kinakuwa “sensitive”….huchukua muda wa dk10-20 kujirudia kama awali.
Onyesha unajali kwa kumuangalia usoni nakusifia eneo lake hilo huku unaendelea na safari yako ya kulamba-nyonya……ukiona anachangamka basi ujue ule u-“sensitive” umeisha na hapo unaweza ukarudi tena kwenye kisimi na kufanya kama awali na rudia kadiri uwezevya mpaka aombe msamaha kwamba inatosha na hawezi kufika tena (ukipiga bao nyingi inafikia wakati huwezi tena), kama ilivyo wa wanaume inafikia huwezi tena kutoa manii.
Kuna baadhi ya wanawake hupenda kuwapa wapenzi wao “mnato” wanapofanya mapenzi, kumbuka kuwa “mnato” au uvutwaji/nyonywaji wa uume unapokuwa ndani ya uke hauna uhusiano wowote na udogo wa uwazi wa uke wa mwanamke bali unauhusiano mkubwa na uimara wa misuli  ya uke (kwa ndani).
Mkao mzuri au unaotakiwa ni kifo cha mende, kama ambavyo sote tunafahamu kuwa mkao huu wa “kilokole” au “romantic” una mitindo mingi, kifo cha mende ninachozungumzia hapa ni kile cha asilia kuwa mwanaume juu mwanamke chini.
Panua miguu yako ili aweze kuingiza na akisha ingiza tu badilisha upanuaji wa miguu yako na ipanue ktk mtindo ambao unadhani utakuwezesha ku-move kirahisi…..alafu mwachie aende juu-chini kisha mwambie atulize “kitenesi” ndani kwamba abaki humo-humo na wewe anza kujishughulisha huku ukimpa maneno matamu na mabusu lukuki “denda” ndio tamu zaidi na vilevile unaweza tembelea puani, masikioni, na shingoni.
Kumbuka wewe mwanamke utakapo amua kukata kiuno , kile kiuno tunaita cha kufanyia mapenzi sio cha kucheza mdundiko…..unapaswa kukata kiuno kinachowezesha kuubana,kuvuta na kuuachia uume humo ndani ya uke(Kwa madaha)…kisha badilisha kwa kwenda huku nahuku, juu chini bila mpenzi wako kusogeza msuli…..ili kuzuia hilo jaribu kushikilia kiuno chake au makalio yake ili iwe rahisi kwako kumrudisha chini pala atakapo taka kuinua sehemu hiyo kutokana na utamu anaupata. Haita mchukua muda mrefu na atamaliza…

Thursday, April 12, 2012

KARIBU KATIKA LOVE EXPRESS

  Nianze kwa kukukaribisha mpenzi msomaji kabla sijaanza kukushushia makala motomoto zinazohusu mapenzi.Kwanza ninapenda tuanze kwa kufahamu maana ya mapenzi.
  Mapenzi ni hisia za asili ambazo huchukua nafasi kutoka sehemu ya ndani kabisa ya moyo na akili ya mwanaadamu juu ya mtu au kitu chochote. Bila kusukumwa na mtu au ushawishi kutoka kwa mtu mwingine ndio maana kuna wakati unaweza kumsikia mtu akisema ``nimempenda huyu mtu hata sielewi nimempendea nini`.
Mapenzi husukumwa na hisia ,hisia ni nini?Huu ni msukumo wa vichochezi katika homoni za ndani ya mwili ambazo hutokea kutokana na mazingira husika.
Lakini huwa tofauti kati ya mtu na mtu na ndiyo maana tunatofautiana katika kupenda.

                               HUU NI MWANZO MENGI YAJA KUPITIA BLO HII.